valid statement
JF-Expert Member
- Sep 18, 2011
- 2,851
- 870
karibu jamvini.
Karibu sana jamvini
Karibia hadi ndani
Karibu sana uwacha wa watu wenye mawazo na uwezo wa kutoa/kujadili hoja kwa mapana na marefu ..Natumaini na wewe utajengeka kimisingi hiyo
Karibu!
asante chatu dume.ivi chatu jike umemwacha wapi?
Karibu..usiofu ingia na viatu..