hodiiii umu ndani

obbytive

Member
Jan 25, 2017
24
11
habari wana jf..poleni na majukumu ya kila siku na pilika pilika za hapa na pale katika maisha haya..mimi ni mgeni humu japo nmekua nikipitia pitia baadhi ya nyuzi uku ndani kwa muda kidgo..naomba kukaribishwa kama member wa umu ndani..kwa ajili ya kishare na kuombana ushauri kwenye mambo mbali mbali ya dunuani. ahsanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pambana na hali yako

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile App
 
Back
Top Bottom