kula kwa tindo
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 1,330
- 324
Naomba kujiunga ktk Hii Nyumba. Pls mnipokee..
Naomba kujiunga ktk Hii Nyumba. Pls mnipokee..
Jinsia tafadhali.
Nitarudi tena
Ulizia wakaguzi wakukague kwanza
ladydoctor umeshamuona??Njemba
Njemba
Njemba
ukikosa wa kukukagua nitafute mimi
Anhaaaa.....
Ole wako nikufumanie unatongoza vibinti vyangu bila ridhaa yangu. Ntakubadilisha jinsia walah.
Mbona we watongoza vibinti vya watu pia
hahhaaa nini tena.......
Talaka inakuhusu
Ukinipa talaka andaa na mazishi yangu kabisaa
Kwamba?????