hodiii

hodiii

i'm osama

Member
Joined
May 3, 2011
Posts
13
Reaction score
1
hi wana JF, kwa mara ya kwanza najitokeza, nipo hai, km huamini onyesha mwili wangu nikwa nimeuawa.
 
by the way, nabisha hodi ndani ya JF tushindane kwa hoja bila matusi wala kejeli, nilijifunza kiswahili hapa hapa bongo, msishangae muarabu kuandika kiswahili cha kisela.
 
Lol ha ha haaaa!!
Karibu sn jamvini, usitumwagie tu upupu wa mtandaoni.
 
karibu osama,hafi mtu hapa, Tz waarabu wako wengi wakikuuliza waambie kwenu Tabora..lol
 
umefufukia baharini? au ndo umegeuka chunusi, bahati nzuri JF haibagui, njoo tu.
 
karibu sana,naomba unifundishe mbinu ya ugaidi,...........
 
Karibu sana Osama nasikia walikuuwa usiku wakakuzika asubuhi baharini lakini yote hayo wamefanya kwa siri
 
Back
Top Bottom