Pooh kumbe wewe mswahili kwann unaongea kingereza."Hayo ni maneno tu" hakuna aliepata busha kwa kukaza vibibi[emoji39] [emoji39] kwenye 6x6 bibi anakuwa kama kijana tu
Basi fanya unirogee hazard asije akachoropokaTunguli zilikuwa zinafanya kazi pooh
Niliwekwa kwenye kiooo navutwa tu na jr
Yan nimekumbuka kanisani kila siku redmedi mpyaaa na moka aiseeHahahahahhaa
Kaenda kwenye id yake ya sku zotee pooohAje atupe kitchen party sijui katokomea wap
Kutesa tu wenzao,wanazani mda wote tunabeba dikshenariPooh kumbe wewe mswahili kwann unaongea kingereza.
Ukiongea kiswahili hasala kwa nan?
[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]Pooh kumbe wewe mswahili kwann unaongea kingereza.
Ukiongea kiswahili hasala kwa nan?
Ya bibi ina meno inavutaaa pooohEeeh. Bibi anajua vijana wakinasa hawatoki.
Unapata binti kavaa na soksi nyeupe,gauni jeupe,na kofia na mkobaYan nimekumbuka kanisani kila siku redmedi mpyaaa na moka aisee
Hahahaahahhahaaaa yereeeeeuwiiiKaenda kwenye id yake ya sku zotee poooh
Pooh kibamia haifai hiyo styleHahaha nimenukuubkwa gudume
[emoji23][emoji23] kasie kasieHahahahahh looh kibibi mwenzangu karibu jukwaani. Mie humu nafaamika kama Kasie Matata aka Kasinde pia kama kigagula.
Haya ngoja na wengine kila mmoja atajitambulisha mwenyewe kwa wataopenda. Basi utajisevia jukwaa utalolipenda uwe unashinda unalala na kula hukohuko. Mababu pia wako humu ila bado wako imara usipokuwa macho inanasa kweupee hivi unajiona.
Huyu bibi mdangaj toka ujananiBibi apambane na hali yake asitumalizie vijana
Mm mwenyewe nimelogwa labda uombe aliyeniloga akulogeee hazardBasi fanya unirogee hazard asije akachoropoka
Poooh kabisa mm nimeishia la saba kingereza sijui alafu wanatunyanyasa sana pooooohKutesa tu wenzao,wanazani mda wote tunabeba dikshenari
Ukimaliza kuvuta hiyo ganja ndio unaongea kingereza poooh[emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
Poooh wewe mbn kama unanisema mm na soks kwa juu zina resi limetanuka kama kofia za beachUnapata binti kavaa na soksi nyeupe,gauni jeupe,na kofia na mkoba
Ngastukaaaa mburaaaaaaaaaHahahaahahhahaaaa yereeeeeuwiii
Karibu huyu ndo bibi mtata Jf poooh[emoji23][emoji23] kasie kasie
Angalia na yeye asijekimbia na chupi mkononi kama yule mwingine aliyekurudishia na hela[emoji23][emoji23][emoji23]Mwacheni bibi aje kwangu maana utraam wa mkuyenge anaujua zaidi yenu Old Granny