Hodiii, mwanamke komando nimeingia JF

Hodiii, mwanamke komando nimeingia JF

Hahahaaaaa, first born huwa wanaviherehere, tena wakiwa mamanager surbordinates wake watakoma kutumwa hovyo, nimewazoea pia, thanks.
<br />
<br />
umeona ee! Sasa humu ndani mi ndo manager, na nitakuwa nakutuma kweli.
 
Bora wewe mamito umapatia kidogo, wataarifu gatzby, raisiwapemba wasiendelee kunichokoza nitadeal nao kikomandoo
Hebu Njoo Private nijue kama kweli wewe ni komando wa kike sijawahi ku chill na komando wa kike
 
Thank you Madam.
QUOTE=Caroline Danzi;2379136]Ni nzuri kama ni komando wa HOJA siyo vinginevyo! welikamu madamu[/QUOTE]
 
Back
Top Bottom