Hodi!

Ozzie

JF-Expert Member
Oct 9, 2007
3,217
1,259
Hodi wandugu humu ndani!
Niliingia JF miaka mitatu iliyopita, bahati mbaya sikuwa active kidogo; japo nimekuwa nikisoma baadhi ya posts nikipata nafasi pasipo kutoa comments. Maana si kila kitu unatakiwa kutoa comments. Kwa sasa nitakuwepo saaaaana.
Kwa kuwa niko ndani, natumai nishakaribishwa!!!!
 
Karibu sana!ulikimbia habari za uchaguzi nini?inaonekana wewe hutaki makuu!any way tupo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom