hodi.

mfereji maringo

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
1,037
251
wanajukwaa leo naingia rasmi jukwaani naomba mnipokee, nimekuwa nikifatilia mijadala mbalimbali jamvini kwa muda mrefu, nimeona nami kuna haja ya kujisajili ili nipate nafasi ya kushare mambo mbalimbali na wana jamii wenzangu hapa jukwaani,
 
Kasome rules za jf kwanza.
Hupaswi kujitambulisha humu, nenda jukwaa la utambulisho.
Paka jimy kama upo around mletee jf rules huyu mdau.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom