hodi

Kilian Karibu sana. Ila mbona unabisha Hodi wakati upo Sebulen?
Maana naona kama thread yako ni ya 6 kama sijakosea? Au unabisha hodi kwa mara nyingine? Maana nyie watoto wa kinyalu mnaheshima nyie hata wajukuu zenu huwa mnawasalimia!
 
Karibu sana. Umesaha kutuambia wewe ni She au He?!!!!!!!

Asante. ila na wewe haujasema kama ni she/he, hivyo nashindwa kukuaddress. Mimi ni "he", nimeoa na nina familia, ni mtu mzima, sio kijana.najua nitawafaidisha wengi pia kwa utu uzima wangu. asanteni.
 
haleluyah......karibu sana...tunategemea pia kupata chakula cha kiroho kutoka kwako
 
karibu sana, Mungu akubariki.nimependa iyo signature yako, sijui ni wimbo gani huo manake unaonekana ni mwimbo mzuri. safi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom