Hodi

DATEMWAMI

Member
Jan 29, 2019
24
10
Kama subject yangu inavyosomeka hapo awali nilikuwa mpenzi mtazamaji wa jukwaa hili ila kutokana na vyuma kukaza na changamoto nyingi za kutafuta mkate wa kila siku huwa nakimbilia kwenye hili jukwaa na kupata relief sana.Kwa ajili mi ni mgeni si vibaya kugonga hodiiiiiiii ili wenyeji wanipokee na kuweza kunitembeza katika mitaa mbalimbali ya hili jukwaa.
 
Back
Top Bottom