Hodi

Hodi

Kabla ya kukaribishwa unakula za USO kwanza
hellow wana jf mu hali gan mm mgen jmn napenda sana kufatilia mada zenu ila leo nimejiunga rasm ila kuna vitu vunanichanga hasa kwenye hii app ya jf
IMG-20180324-WA0266.jpg
 
sasa nishaelewa hy picha nimebadil nimeshindwa ndg
Uwe makini unapopost vitu JF maaana vingi huwa havifutiki pia maneno yako andika kwa urefu usiwe unafupisha...

Nimebadil = nimebadili
Hy = hiyo
Ndg = ndugu

Karibu sana...
 
Uwe makini unapopost vitu JF maaana vingi huwa havifutiki pia maneno yako andika kwa urefu usiwe unafupisha...

Nimebadil = nimebadili
Hy = hiyo
Ndg = ndugu

Karibu sana...
sante bro inanifanya hata nataka kubadili account
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom