Habari mimi ni mgeni humu,ninaungana nanyi ktk kilimo,mm tayari nina eka 7 za matikiti katikati ya mwezi ujao nitaanza kuvuna eka 2 za mwanzo lakini huku ninakolimia kuna changamoto nyingi sana.usiku nguruwe wanasumbua hatulali mchana nyani na wafugaji naombeni fikra zenu nifanyaje?