Hodi wanajamii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi wanajamii

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by kambiringe, Sep 3, 2010.

 1. k

  kambiringe Member

  #1
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimekuwa nikifatilia sana hii site, na nimeona inafaa sana, naomba kuwajoin
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0

  Jitambulishe! Uko upande gani? Wa mafisadi au wapiganaji? Tunataka jibu haraka tafadhali!
   
 3. k

  kambiringe Member

  #3
  Sep 3, 2010
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mimi nachukia sana ufisadi, hasa ukizingatia ulivyolitafuna taifa letu kwa kiasi kikubwa. adha, dhiki na shida zinaaowapata watanzania chanzo chake ni ufisadi
   
 4. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #4
  Sep 3, 2010
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 5,205
  Likes Received: 1,007
  Trophy Points: 280
  .
  Kwa mamlaka niliyopewa hapa jamvini ya kukaimu dharura zote, nakukaribisha. Jisikie upo ukanda huru wa kutoa mawazo.
   
 5. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #5
  Sep 3, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Karibu, sasa kwakuwa umesema upande wapo basi ni ruksa kuvote kwenye box juu ya nani afaa kuwa presida 2010-2015
   
 6. D

  Deck Joel Member

  #6
  Sep 3, 2010
  Joined: Apr 14, 2010
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Karibu mkuu.
   
 7. M

  Mkulima mimi JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2010
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 233
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  kwanza karibu sana! Ila nadhani sababu ya ugeni umepotea njia lipo jukwaa la utambulisho! Usihofu invisible akusaidia kurudisha kwenye jukwaa husika. mod hii inabana nafasi hapa!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Sep 4, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Karibu sana.
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Sep 4, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  karibou sana
   
Loading...