Karibu sana jamvini, tunategemea pia kupata ushirikiano kutoka kwako pia. Soma sheria na kanuni zetu kuna muongozo huko wa namna ya kuishi humu.ndugu waungwana mimi ni mgeni katika jf pia naombeni muongozo wenu
kwani nimevutiwa sana na jamii forum
naamini kwa kutumia jamii forum nitajifunza mambo mengi sana
naomba mnipokee