hodi wanajamii

cinderela

Member
Jul 6, 2012
5
1
habari wanajamiiforums mie ni member mpya wa familia hii nipokeeni kwa mikono miwili tushirikiane.asante
 
Hodi hodi wanajamii! Mimi naonelea ni jambo jema kujiunga nanyi katika jamii hii, naitwa Lucas juma kwa majina, ni Juma Mkristo sio muislamu. Kwetu ni Ruiru katika Kenya. Jukwa hili ningependa lininufaishe kilugha ya Kiswahili na mambo mengine ambayo kwa kidogo naonelea nivema kushughulikia kwa kufanyia upembuzi yakinifu.Ninayo mengi ya kusema lakini nikiwapa muda kupumua itakuwa vizuri sababu mwendo mzuri ni hatua moja halafu nyingine.Wasalam!
 
Pili ningeomba kupewa zile hotuba zilizokuwa zikitolewa na Radio Tanzania Dar es salam pindi tu baada ya kusomewa taarifa ya habari ziitwazo mazungumuzo baada ya habari zote zikiletwa na Abdul Ngalawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom