Hodi wana jf

The Finest

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2010
Posts
21,605
Reaction score
6,097
Kwa kweli nimefurahishwa na mada zinazozungumziwa humu ndani na pia member s mbali mbali wanaotoa michango yao yenye kusaidia na kuelimisha mawazo na maoni yenu ndiyo yamejifanya nijiunge kwenye hii familia kubwa nilikuwa mpita lakini nikaona hapana bora nijenge kabisa kibanda natumaini mtanipokea kwa mikono miwili nashukuru sana.
 
Karibu sana The Finest. Jisikie uko gesti!
 
Karibu sana The Finest. Jisikie uko gesti!

Asprin hujatulia,umenifanya nicheke mwenyewe kama mwehu!!!!!by the way,hana haja ya kujiskia yuko gesti maana already yuko huko 24 hrs
 
Karibu sana... Naona hekima inazidi.. Hongera sana KIJANA umetoka mbali..
 
Karibu sana... Naona hekima inazidi.. Hongera sana KIJANA umetoka mbali..
Dah!!!! Hivi mzima wewe kweli halafu hiyo avatar yako banaa mimi hapana kabisa l.o.l
 
Mimi nipo bwana mzima kabisa... Hiyo avatar ni kwa ajili ya HARTI BREKAZ kama wewe...
 
mimi nipo bwana mzima kabisa... hiyo avatar ni kwa ajili ya harti brekaz kama wewe...
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
 
mimi nipo bwana mzima kabisa... hiyo avatar ni kwa ajili ya harti brekaz kama wewe...
:a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13::a s 13:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…