WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Habarini za mchana wana JF?
Kiukweli na kwa moyo wa dhati kabisa nimeamua kujiunga humu ndani ili tuweze kuunganisha nguvu katika kuipigania nchi hii.
Nimekuwa nikichungulia tu mawazo yenu kama user wa kawaida lakini mwisho wa siku nimeona kuna haja na kila sababu ya mimi kuwa member ili tushirikiene kwa pamoja,kwanza niwapongeze wale wana CDM kwa kazi kubwa ambayo wanaifanya humu ndani katika kuielemisha jamii,kiukweli na bila kipingamizi tunapaswa kusimama kidete kuhakikisha kwamba ushindi unapatikana pamoja na kwamba kuna watu wenye kukatisha tamaa.Lakini pia ni lazima tusimame kwenye ukweli mtupu ili Mwenyezi Mungu awe upande wetu.Nimeona ni vyema mwaka huu usipite ili niingine mwaka ujao kwa matumaini mapya na mawazo mapya.mchana mwema na chakula chema.Pipooooooooooz????!!!