Hodi wana jamii

Hodi wana jamii

Karibu sana mkuu, naitwa Mwita25 ndiye mtu ninayeongoza kwa kupokea PMs kutoka kwa mademu wa jamvini. Huwa napokea messages 250-300 kwa siku.
 
karibu, angalia sana mwita25 asikupotezee yeye huwa anapewa kifungo marakwamara usifuatane naye njia moja.
 
Karibu sana mkuu, naitwa Mwita25 ndiye mtu ninayeongoza kwa kupokea PMs kutoka kwa mademu wa jamvini. Huwa napokea messages 250-300 kwa siku.
Dah! Sifa nyingine bana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom