Hodi wakubwa

Hodi wakubwa

Vinc

Member
Joined
May 15, 2011
Posts
19
Reaction score
0
Hodi hodi hapa jamvini,ndugu yenu mgeni hapa,naomba kuingia ndani,kumbukeni kuku mgeni hakoso kamba mguuni,hivyo nikikosea naomba kuelekezwa!
 
karibu sana vinc, jisikio uko nyumbani na jamvi ni lako wala hukuazima
 
Ukiona vyaelea vimeumbwa, hili jamvi limeumbwa. Karibu sana.Tutakusaidia na kukupa ushauri bure bila malipo.
 
Na mimi ni mgeni kama wewe. Naomba nielekezwe jinsi ya kuanzisha/kuandika thread. Msaada jamani, si mnajua ugeni ulivyo?
 
Hodi hodi hapa jamvini,ndugu yenu mgeni hapa,naomba kuingia ndani,kumbukeni kuku mgeni hakoso kamba mguuni,hivyo nikikosea naomba kuelekezwa!

Ugeni tunakuvua rasmi hivyo sasa tayari wewe ni mwenyeji...lol

Vinc karibu JF.
 
Back
Top Bottom