Hodi ndugu zangu!

Sigma

JF-Expert Member
Feb 26, 2011
5,005
1,249
Duh! Hii si mchezo pilipili tu ndo siioni!
Chagua mwenyewe...
Kipenda roho..
caribbean-red-hot-chilli-seeds.jpg
Chatine%20Ya%20Embe%20Mbichi.jpg
Pilipili_mboga_red_fruits.jpg
chilipeppers.jpg
 

Caroline Danzi

JF-Expert Member
Dec 19, 2008
3,711
1,250
Ahsante but nitaishia Sebuleni!

Mcharuko karibu mamito, jisikie huru, uko nyumbani. Karibu vitumbua na juice ya ukwaju. Nakukaribisha pia Jamii Empowerment Saccos. Kuna kikao MEXICO PUB, Kinondoni (opp. Mwanamboka Petrol station) kuanzia saa 9 alasiri. Tembela jukwaa la Business Economic Forum upate yanayojiri kwenye fani ya biashara.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom