Hodi ndugu zangu!

Hodi ndugu zangu!

Mcharuko

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2011
Posts
209
Reaction score
175
Habarini waungwana wa jamii forum, jina langu ni
Mcharuko au Dada mcharuko au shangazi mcharuko!
Naomba mnipokee humu ndani.
 
Karibu sana kwenye Jukwaa la great thinkerz.Natumaini tutajifunza mengi toka kwako vile vile kutoka kwetu.
 
Habarini waungwana wa jamii forum, jina langu ni
Mcharuko au Dada mcharuko au shangazi mcharuko!
Naomba mnipokee humu ndani.

mcharuko, unatabia mbaya unasema hodi wati ukondani? Rudi kajifunze ndo urudi, kwanza umeingia na via2, toka na kwambia tokaaaaa.....
 
Tujumuike
SOSIO.jpg
 
mcharuko, unatabia mbaya unasema hodi wati ukondani? Rudi kajifunze ndo urudi, kwanza umeingia na via2, toka na kwambia tokaaaaa.....
Duh! unavyonikemea kama pepo vile, kumbe nimekuangalia vizuri
nakuona na wewe una kamba mguuni kama mimi!
 
Karibu sana..lakini ilo jina Mcharuko!?! Hopefully hutakuwa mcharuko kweli, maana utafanya raia wakucharukie sana humu.... Karibu sana.
 
mcharuko, unatabia mbaya unasema hodi wati ukondani? Rudi kajifunze ndo urudi, kwanza umeingia na via2, toka na kwambia tokaaaaa.....

msamehe bure, ana hamu sana.
 
Habarini waungwana wa jamii forum, jina langu ni
Mcharuko au Dada mcharuko au shangazi mcharuko!
Naomba mnipokee humu ndani.

karibu sana mcharuko wangu ila usije leta mcharuko wako humu ukasema ulikuwa hujui sheria gonga hapa ili uwe safe
www.jamiiforums.com/rules.php
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom