Nimekuwa msomaji wa Jamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania.
Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.
Nimekodi kirikuu ije usiku mwenye nyumba asinione 😂😂
Mwenye nyumba niliyohama mke wa polisi kila siku bili za maji, umeme, taka, n.k. ilimradi anywe bia , akiona unaondoka anakagua chumba anaanza pigo sizo apate hela ya savana kadhaa, atakwambia umeharibu rangi, ukibisha defender inaletwa.
Nimekuwa msomaji wa hamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania.
Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.