Hodi jf kwa mara nyingine tena

Testar

JF-Expert Member
May 30, 2015
7,461
12,214
Habari zenu wandugu? nimekuwa mudau wa jf kwa miaka 2, nimejiunga mwaka jana...nimekuwa mshirika kamili july mwaka huu. Ushirikiano wenu ni muhimu naamini kwa pamoja tutajifunza na kuzooea mengi....yangu ni hayo...karibuni kwa ushauri, maoni na hata maonyo.
 
karibu sana...ila nakushauli uwe na heshima kwa wakubwa na wadogo ogopa sana kuwafuata watu wenye id za kidem pm zitakupotezea muda
Nimekuelewa mkuu....shukrani kwa ushauri...nitauzingatia.
 
krb sana JF mjukuu wetu...
Asante sana Mkuu hili jukwaa ni tamu sana....kama unajua kuandika na kusoma plus lugha ya malkia kidogo unaeza okota PhD humu....hahahaha just kidding ila jf ni bwawa la ufahamu
 
We ndo ******** kabisa,mtu aliyejiunga jf may 30/2015 ni new member?
Kujiunga may 30/2015 siyo issue mkuu....mambo mengine sikuelewa kabisa....kutizama mpira na kucheza ni vitu 2 tofauti....kila kimoja na perception yake.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom