Hodi JF.. Feels good to be back

Habari zenu wapendwa, Nili disappear kipindi kirefu lakini kama kawaida we always find our way back home...

It feels good to be back here once again!

Salam kwenu wote..
karibu tena mkuu, umeleta nini atiii!!!
 
Habari zenu wapendwa, Nili disappear kipindi kirefu lakini kama kawaida we always find our way back home...

It feels good to be back here once again!

Salam kwenu wote..
Karibu tena, kweli sijakuona mida mrefu hadi nilianza kukusahau
 
Kama hiyo avatar ni ya kwako basi na mimi paroko nakukaribisha kwa moyo mkunjufu.

Karibu sana nyumbani kwa mara nyingine tena.
 
Back
Top Bottom