Hodi Jamvini

funguotatu

Member
Jul 13, 2012
85
11
Wapendwa katika ushirika jamvini, napenda kuwashukuru Jf kwa kunikubalia ombi langu la kuvinjari katika jamvi hili lenye wateja lukuki hususani kutoka ndani na nje ya ardhi yetu ya Tanganyika na Unguja. Pia, wajumbe wa Jf kwa kukubali kusoma haya niliyoandika, nawashukuru sana. Shukrani zangu za ziada ziende kwa wale wasiowanachama lakini kila siku hawakosi kuvinjari jamvi hili, nawaomba waige mfano wangu na wajiunge na Jf ili wanufaike na wavuti huu. Nisipote muda naomba kutoa hoja.
 
masala_chai.jpg
 
Back
Top Bottom