Hodi jamani!!Baada ya kujivua gamba | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hodi jamani!!Baada ya kujivua gamba

Discussion in 'Utambulisho (Member Intro Forum)' started by Mbavu za Mbwa, Jun 16, 2011.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  Jun 16, 2011
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa likizo kijijini kwetu, umeme hakuna kule. Si kwa kuwa kuna mgao lah hasha kwani hawajawahi kuona hata balbu labda gropu ktk tochi na ktk taa za BAISKELI. Anyway, kimsingi nimeamua kujivua gamba na kuamua kuvaa magwanda. Nimehama CCM ya JK na Nape na kujiunga na wapiganaji.
  Nimeamua kufanya hivi baada ya kufuatilia bajeti mbadala ya CDM na kugundua kuwa hawa jamaa ni wazee wa kazi. Najua wapo vibaraka wa CCM watakaoniponda kuwa mimi si chochote(kwa kuwa sina cheo ndani ya CCM) ila mtaji wa chama chchte cha siasa ni watu.
  NATANGAZA RASMI: NIMEHAMIA CDM LEO TAREHE 16 JUNE 2011.
   
 2. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #2
  Jun 16, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Asanta kwa taarifa.U r welcome.
   
 3. Mohamedi Mtoi

  Mohamedi Mtoi R I P

  #3
  Jun 16, 2011
  Joined: Dec 11, 2010
  Messages: 3,326
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 0
  Karibu sana mkuu na uache magamba yako nje, ukituzingua kwa kheri na wasalimie kina vuvuzela master.
   
 4. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #4
  Jun 16, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Karibu sana magwanda
   
 5. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #5
  Jun 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  karibu na pole kwa giza ulilokuta kijijini kwenu ila hawatofautiani sana na wa town, giza giza tu
   
 6. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #6
  Jun 17, 2011
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 4,380
  Likes Received: 3,340
  Trophy Points: 280
  Karibu sana
   
 7. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Siasa inakusubiri... Karibu
   
 8. Yousuph .M.

  Yousuph .M. Senior Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Karibuuuuuuu,
   
Loading...