hodi hodi

hodi hodi

haya sasa jamani jina langu ni nikanyage hili jina lina historia ndeefu tu kiufupi mimi ni mwanaume rijali natafuta rafiki
 
Karibu sana... Unatafuta rafiki wa jinsia ipi? uko single? mie nimeolewa ila ndoa kidogo ina utata......

Usiseme hivyo jamani. Utaita majirani eti!!? Na Baba V anavyopenda, akisikia tu, utamwona mlangoni!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom