hodi hodi

hodi hodi

Rafiki wa aina gani.....? Coz kila mtu ana aina ya rafiki zake humu.....kwa mfano mimi nina wa aina 2.......wa ku-do na wakunywa kinywaji......wewe unataka yupi.........?
 
Jieleze kwanza, tujue tunakusaidiaje, hebu jibu maswali ya Preta na Donn
 
Last edited by a moderator:
Unaitwa NIKUKANYAGE?tayari rafiki umepata nipo hapa.mie ni "Me" si mkubwa wala mdogo, si mrefu ama mfupi sijaoa wala kuchumbia,napenda vitu vyote uvipendavyo wewe.
 
Rafiki wa aina gani.....? Coz kila mtu ana aina ya rafiki zake humu.....kwa mfano mimi nina wa aina 2.......wa ku-do na wakunywa kinywaji......wewe unataka yupi.........?

Msome vizuri, anataka wa kumkanyaga, karibu sana aisee
 
Unaitwa NIKUKANYAGE?tayari rafiki umepata nipo hapa.mie ni "Me" si mkubwa wala mdogo, si mrefu ama mfupi sijaoa wala kuchumbia,napenda vitu vyote uvipendavyo wewe.

COPY: Evelyn Salt.
 
Last edited by a moderator:
Rafiki wa aina gani.....? Coz kila mtu ana aina ya rafiki zake humu.....kwa mfano mimi nina wa aina 2.......wa ku-do na wakunywa kinywaji......wewe unataka yupi.........?

Good qstns Preta ila sijui mleta mada yu wapi?
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Chitchat...kama una matatizo yoyote ya kifedha usisite kuniandikia barua.
 
Unaitwa NIKUKANYAGE?tayari rafiki umepata nipo hapa.mie ni "Me" si mkubwa wala mdogo, si mrefu ama mfupi sijaoa wala kuchumbia,napenda vitu vyote uvipendavyo wewe.

Shost Evelyn Salt bado umelala???
 
Last edited by a moderator:
Karibu sana Chitchat...kama una matatizo yoyote ya kifedha usisite kuniandikia barua.

hata chelewa kuandikia ujumbe wa please recharge me. Haha watu8
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom