hodi hodi

hodi hodi

Nilimeza valium ili nisinzie vizuri,yani nimeamka nina hasira za kufa mtu!!!!!
Leo asipitishe hata sura ake mbele angu......

dia umeamka? Embu jiandae nikupeleke pale imalaseko supermarket
 
nashukuru jamani nipokazini baadae nitamjibu kila mtu mbarikiwe nyooote.
 
Rafiki wa aina gani.....? Coz kila mtu ana aina ya rafiki zake humu.....kwa mfano mimi nina wa aina 2.......wa ku-do na wakunywa kinywaji......wewe unataka yupi.........?
RAFIKI wa kushare mambo mbali mbali ya maisha
 
Nilimeza valium ili nisinzie vizuri,yani nimeamka nina hasira za kufa mtu!!!!!
Leo asipitishe hata sura ake mbele angu......

Msamehe jamani! Ni pepo tu anamnyemelea. Ndoa zina matatizo sana. Hata mimi na marejesho tumeongeza maombi kuombea wanandoa ikiwemo sisi!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom