Yerusalem Member Joined Oct 5, 2011 Posts 71 Reaction score 78 Oct 6, 2011 #1 Hodi hodi wana jamii forum,Ninafuraha kuungana nanyi katika kutoa na kuchangia hoja mbalimbali katika jukwaa huru
Hodi hodi wana jamii forum,Ninafuraha kuungana nanyi katika kutoa na kuchangia hoja mbalimbali katika jukwaa huru
Vin Diesel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2011 Posts 9,087 Reaction score 6,393 Oct 6, 2011 #2 Karibu sana...wazima mashariki ya kati?
SILENT ACtOR JF-Expert Member Joined Apr 9, 2011 Posts 627 Reaction score 181 Oct 6, 2011 #3 Yerusalem, uje na uzoefu wako wa miaka kedekede utokanao na mapambano ya maisha kati ya mataifa hasimui, bali wewe uwe mpole, usitutishe kwa mabomu.
Yerusalem, uje na uzoefu wako wa miaka kedekede utokanao na mapambano ya maisha kati ya mataifa hasimui, bali wewe uwe mpole, usitutishe kwa mabomu.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Oct 6, 2011 #4 Karibu mwana, huu ndo mtambo wa kurekebisha tabia!
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 678 Oct 7, 2011 #5 Karibu sana
G_crisis JF-Expert Member Joined Jun 19, 2011 Posts 723 Reaction score 256 Oct 7, 2011 #6 Karibu ndani ya nyumba,have a seat and relax!!!
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,737 Oct 7, 2011 #7 karibu mwaya