Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,595
- 215,275
Tutajuana mbele kwa mbele mkuuUshajua jinsia yake kabla hajataja
Tutajuana mbele kwa mbele mkuuUshajua jinsia yake kabla hajataja
sawa mkuuTutajuana mbele kwa mbele mkuu
Huyo nisha malizana nae.Malizanenii na inna kwanza kabla ya kurukia kwingine
Acha uhuniiKaribu sana kama ww ni ke njoo pm ujaze form ya kujiunga JF.
YaaaniUtaita mpk wanaume wenzio uko pm
Uhuni upi tena wakati inabidi ajaze form.Acha uhunii
Fomu gani ya kujaza sirini!?haya ushajua jinsia yake?Uhuni upi tena wakati inabidi ajaze form.
Hii fomu inabidi ajazie kule pm maana haitakiwi kila mtu aone mkataba wake. Bado sijajua lakini nitafaham tu.Fomu gani ya kujaza sirini!?haya ushajua jinsia yake?
Ishu gani hyo mnatumianaHii fomu inabidi ajazie kule pm maana haitakiwi kila mtu aone mkataba wake. Bado sijajua lakini nitafaham tu.
Alafu ile ishu yako nakutumia leo jana nilipitiwa na usingizi.