Hodi hodi wanajamvi

Hodi hodi wanajamvi

svoca

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
373
Reaction score
70
jamani
samahani kwa kuingia bila hodi yote ni utamu ktk jamvi hl nimeingia
bila hod kwa kuweka coment zangu,so naomba mnikaribishe please kina miss
chigga,heaven on earth nk.
 
yaaani chakula umekula bila kukaribishwa baada ya tonge mbili ndo unaomba maji ya kunawa
karibu ututajie na jinsia yako
 
mh.hebu soma vizur huo uzi mku
 
jamani miss neddy am ME vp umeshapata mchumba?
 
Back
Top Bottom