Hodi hodi wana jf, tafahali naomba kuwa member wa jf.

The Future.

Member
Jan 7, 2011
71
0
Kwa heshima taadhima natumia nafasi kujitambulisha hapa na kuomba kuwa mmoja wenu katika kuchangia mada mbalimbali, nimekua nikipitia mtandao huu mara kwa mara na nimekua nikijifunza mengi kutoka humu. Hongera sana kwa uongozi mzuri wa mtandao huu ambao umekua na hadhi ya kukubalika na kuheshimika sana. Naomba kujiunga ili niweze endelea kujifunza mengi kutoka kwa wataalam mbalimbali waliopo hapa. Mwisho kabisa natoa pole zangu za dhati kwa uongozi wa chadema, wanachama na watanganyika wote kwa ujumla hasa wafiwa na wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha. Mungu awatie moyo na ujasiri hasa katika kipindi hiki kigum. Asanteni sana.
 
karibu sana jamvini, tunategemea ulete habari na matukio ya kimaendeleo siyo kujifunza tu, hataka maoni yako tunayahitaji
 
Karibu ila hii thread ilitakiwa kuwa kule kwenye jukwaa la utambulisho. Inadhihirisha kuwa wewe ni mpenzi wa jukwaa hili la siasa hata kabla ya kujiunga rasmi JF
 
Karibu sana, nimelipenda jina lako, na daima ukumbuke BAK alikuwa wa kwanza kukugongea thanks hapa jamvini hahahahahaha. Humo kwenye fridge kuna vinywaji vya kila aina pamoja na togwa. Chagua chochote ukipendacho ili ukate kiu maana joto la leo si la kawaida. Karibu sana.
 
asanteni sana, ndugu zangu, ni kweli kabisa mi ni mpenzi sana wa jukwaa hili, tajitahidi kuchangia na kutoa mada zenye maana kadri ya uwezo wangu. Asanteni sana.
 
Kwa heshima taadhima natumia nafasi kujitambulisha hapa na kuomba kuwa mmoja wenu katika kuchangia mada mbalimbali, nimekua nikipitia mtandao huu mara kwa mara na nimekua nikijifunza mengi kutoka humu. Hongera sana kwa uongozi mzuri wa mtandao huu ambao umekua na hadhi ya kukubalika na kuheshimika sana. Naomba kujiunga ili niweze endelea kujifunza mengi kutoka kwa wataalam mbalimbali waliopo hapa. Mwisho kabisa natoa pole zangu za dhati kwa uongozi wa chadema, wanachama na watanganyika wote kwa ujumla hasa wafiwa na wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha. Mungu awatie moyo na ujasiri hasa katika kipindi hiki kigum. Asanteni sana.

Kwa maneno haya 'wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha' waonyesha kumbe hufai kabisa kuwa humu jamvini ni bora ujitoe mapemaaa. Umekuja kuwatetea watu ambao hawafuati utawala wa sheria na kusababisha mauaji ya watu si wengine ni CDM

The Future?!? Why? How? When? Nway,karibu mkuu. But be careful,the future is only predictable and not a reality!
 
asante sana BAK, nimekua nikikusoma marakwamara, na admire sana style yako ya uchangiaji na utoaji wa mada, kweli nashukuru sana kwa uungwana wenu, great thinkers.
 
Kwa maneno haya 'wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha' waonyesha kumbe hufai kabisa kuwa humu jamvini ni bora ujitoe mapemaaa. Umekuja kuwatetea watu ambao hawafuati utawala wa sheria na kusababisha mauaji ya watu si wengine ni CDM

GB
Kwenye RED hapo, nilidhani we jinius...! kumbe wewe si GB bali ni ZB (Zero Brain), Pole weee....:director:
 
naomba badae usiwe kama kina MS, kishongo.zomba, jeykey, na dar es salaam

vinginevyo karibu sana
 
Kwa heshima taadhima natumia nafasi kujitambulisha hapa na kuomba kuwa mmoja wenu katika kuchangia mada mbalimbali, nimekua nikipitia mtandao huu mara kwa mara na nimekua nikijifunza mengi kutoka humu. Hongera sana kwa uongozi mzuri wa mtandao huu ambao umekua na hadhi ya kukubalika na kuheshimika sana. Naomba kujiunga ili niweze endelea kujifunza mengi kutoka kwa wataalam mbalimbali waliopo hapa. Mwisho kabisa natoa pole zangu za dhati kwa uongozi wa chadema, wanachama na watanganyika wote kwa ujumla hasa wafiwa na wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha. Mungu awatie moyo na ujasiri hasa katika kipindi hiki kigum. Asanteni sana.

Unakaribishwa sana, we changia kile unachoamini ila usikatiswe tamaa na wala usiwe kama baadhi ya wachangiaji e.g Genius Brain a.k.a Zero Brain na wengine kama Maralia sugu, Dar es Salaam, JeyKey etc...
 
asanteni sana, GB, nadhani sio busara kuwalaum wahanga wa nguvu za dola, ni wajibu wetu kukemea matumizi mabaya ya nguvu za dola.
 
Kwa heshima taadhima natumia nafasi kujitambulisha hapa na kuomba kuwa mmoja wenu katika kuchangia mada mbalimbali, nimekua nikipitia mtandao huu mara kwa mara na nimekua nikijifunza mengi kutoka humu. Hongera sana kwa uongozi mzuri wa mtandao huu ambao umekua na hadhi ya kukubalika na kuheshimika sana. Naomba kujiunga ili niweze endelea kujifunza mengi kutoka kwa wataalam mbalimbali waliopo hapa. Mwisho kabisa natoa pole zangu za dhati kwa uongozi wa chadema, wanachama na watanganyika wote kwa ujumla hasa wafiwa na wahanga wa udhalimu wa serikali na jeshi la polisi kwa yaliyotokea arusha. Mungu awatie moyo na ujasiri hasa katika kipindi hiki kigum. Asanteni sana.

Karibu saana.
 
asante sana BAK, nimekua nikikusoma marakwamara, na admire sana style yako ya uchangiaji na utoaji wa mada, kweli nashukuru sana kwa uungwana wenu, great thinkers.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom