Sungurampole JF-Expert Member Nov 17, 2007 984 205 Sep 18, 2011 #1 Kwa mara ya kwanza naingia jukwaa hili japo nimekuwepo kwa muda forum nyingine naomba mnipokee
mikatabafeki JF-Expert Member Dec 29, 2010 12,772 4,641 Sep 18, 2011 #2 karibu sana mkuu tujitahidi kuona kwamba sio lazima haki itendeke ila ni lazima haki ionekane ikitendeka
karibu sana mkuu tujitahidi kuona kwamba sio lazima haki itendeke ila ni lazima haki ionekane ikitendeka
Sungurampole JF-Expert Member Nov 17, 2007 984 205 Sep 18, 2011 Thread starter #3 Nashukuru mkuu tupo pamoja naahidi michango yangu kulenga lengo hilo ambalo naliona kuwa 'NOBLE"