Hodi Hodi wakuu! Ndugu yenu nimejiunga rasmi JF.

Artificial Horizon

JF-Expert Member
Jul 31, 2019
246
586
Wasalaam wakuu wote...

Ndugu yenu/mdogo wenu Artificial Horizon nimejiunga rasmi na jukwaa hili pendwa kama 'member' nitaanza kutoa mawazo yangu juu ya mada mbalimbali jukwaani.

Nimeifahamu JF miaka sita iliyopita tokea nilipokuwa kidato cha pili,. tokea wakati huo hadi leo sikuwahi kuwa member wa JF,.nilitumia JF kama 'Guest' na ni mara chache sana kukosa kuingia JF kifupi mdogo wenu nalifahamu jukwaa kindakindaki kuanzia kule jukwaa la siasa,intelinjensia,elimu, sports nk..

Wakuu nikaribisheni ndugu yenu.
Shukrani sana!


Artificial Horizon
"De street boy"
 
Back
Top Bottom