NOT FOUND Senior Member Mar 14, 2011 158 59 Apr 20, 2012 #1 Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F Wale wote niliowakosea tusameheane, tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito. - Regards [*****]
Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F Wale wote niliowakosea tusameheane, tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito. - Regards [*****]
Erickb52 JF-Expert Member Oct 31, 2010 18,539 11,442 Apr 20, 2012 #2 Hahhahahaaaaa We ni nani?? Ni pm chap mkuu
Gagurito JF-Expert Member Feb 11, 2011 5,600 804 Apr 21, 2012 #4 NOT FOUND said: Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F Wale wote niliowakosea tusameheane, tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito. - Regards [*****] Click to expand... REJAO alikuponza!
NOT FOUND said: Naahidi kuwa mwanachama mwema wa J.F Wale wote niliowakosea tusameheane, tunajenga nyumba moja hivyo tusigombane kwa sababu ya kugombea fito. - Regards [*****] Click to expand... REJAO alikuponza!
Rejao JF-Expert Member May 4, 2010 9,220 4,060 Apr 21, 2012 #5 Gagurito said: REJAO alikuponza! Click to expand... Makubwaaaaa Gagurito!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Gagurito JF-Expert Member Feb 11, 2011 5,600 804 Apr 21, 2012 #6 Rejao said: Makubwaaaaa Gagurito!! Click to expand... Hahahahaha! BAN yake ni kazi yako Rejao
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,204 54,560 Apr 24, 2012 #12 Lazima ujirekebishe maana hapa hakuna linaloshindikana.Karibu sana.
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,576 2,073 Apr 25, 2012 #13 Pole na Ban, karibu tena. ID ya ngapi hii Mkuu.