Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
ha haaaaaaaaa, adui yako mweke closer....... hujaipata hii babu?ewaaaaaa!
mitambo inaanza kufanya kazi zake sasa...
hepi nyuu ia na wewe pia,
Yaani Erickb52 huyu babu zumbemkuu na babu Asprin lao moja, nimeshtukia baada ya zumbemkuu kuja na kuanza kuomba apewe wajukuu awalee, mara akasema baba Asprin amechoka sasa na leo nakutana na thread ya babu Asprin akisema ati anatafuta mtu wa kumkabidhi wajukuu wa kulea.... hebu ngoja nimuulize FP kama yupo tayari kulelewa na kibabi zumbemkuu
umeona eeehhh!Unalo......
asante sana mkuu, happy new year pia
umeona eeehhh!
kaazi kweli kweli
ha haaaaaaaa, ni vizuri kujiamulia hivyoMwaka huu sidanganyiki....
Same to you my dear.
Aisee lile deni langu nlilokukopa pale Himo inakuwaje?? Mamndenyi anasema umeweka rehani laputop yako ulikopwa nauli ya kwenda kuhesabiwa.... Thibitisha babu
Babu mkaguzi mbona wana kukosea heshima.
Keshasema kazi ya ukaguzo ameacha,
Kili msibu nini hadi akaamua kuacha jamani
Hebu muulize wewe alisema amezeeka....lol anatafuta wa kumrithi ila wewe hufai hata kwa bure
Hebu muulize wewe alisema amezeeka....lol anatafuta wa kumrithi ila wewe hufai hata kwa bure