Thank you very very much Mamndenyi. Special dedication to Blaki Womani, much love.
hahahahaha! Mamndenyi lile deni dada AshaDii alisema atamalizia kulilipa, hivi hajakupa bado? AshaDii tafadhali uje ujibu hapa, vinginevyo ni mention ili nipate hela, loh!zumbemkuu hivi ulimaliza kulipa lile deni la zamani au nalo umehama halo nakufahamu weye kwa kukopa ndo mwenyewe au umekua siku hizi.
we weeeeeee, mimi sitaki kabisa mada kesi.... mambo ya kuambiana sijui maini hayazeeki ni kuuza chai tu.........hehehehehehehe! FP ng'ombe hazeeki maini ati, njoo nikukagua kwa kutumia vifaa vipya vya digitali, etieeee?
umeona eeeh! nani anataka kumjoin lulu kule segerea!Hahahahaaa umegundua hana pumzi? Hehehheee zumbemkuu mkuu jitetee
Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!mkuu Erickb52 mifupa haizeeki aisee, teh teh teh! halafu ninamiliki migodi ya mawe kule mererani, atajileta tu, hahahahaha
Hahahaaaa kataa mpenzi wangu.umeona eeeh! nani anataka kumjoin lulu kule segerea!
Heheheee halafu anaanza kuleta jeuri ya pesa lol hajui huku ndiko kwenyewe?he heeeeeeee, hizo sera muuzie @lara1 , mimi wala sihusiani na faranga....... nikikudondokea nimekudondokea tu......as simple as that
nami pia nawatakia kheri ya mwaka mpya.
rafiki kumbe unalijua hili, asante sana kwa kunisaaidia........Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!
Chezeya The secretary na FP ? Muulize Bishanga anawajua vizuri
umeona eeehhh!Heheheee halafu anaanza kuleta jeuri ya pesa lol hajui huku ndiko kwenyewe?
Mapedeshee na ma binti wenye mapesa wako Chit Chat lol
Hahahaa hao wadada hawatidhiki na kamgodi kako ka Mererani....wao wanamiliki Migodi South Africa na mahotel makubwa kule Marekani na Ulaya!
Chezeya The secretary na FP ? Muulize Bishanga anawajua vizuri
wewe wewe.....Hahahaaaa kataa mpenzi wangu.
Halafu nataka tufungue ukurasa wetu mpya wa mapenzi ya dhati kuanzia leo jioni....tuachane na akina TANMO na Amyner
Hope unajua nakupenda sana basi tu kaka yako moto2012 alileta chenga.
Nimeongea na dada yako snowhite kanambia unahitaji faraja ya kweli na kwa kuwa nimekuwa kiumbe kipya ntakufaa sana!
Acha kuzunguka njoo na jibu la Yes!