Hodi hodi humu.....

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,362
Reaction score
9,882
jamani wenyeji wa humu Chit-Chat naombeni hifadhi walau hata ya wiki moja hadi huu mwaka uishe, nimetokea kule jukwaa la stress kuna wale vijana (siku hizi wanaitwa masalia) wameniudhi sana...
yule babu wa jukwaa hili mwenye vijukuu vingivingi ajitokeze tafadhali walau anipatie hata kajukuu kamoja tu kakustorisha nako... sina makuu mgosi chochote ntakachoandaliwa ntakula tu....
Hodi tena....
 

Pole sana babu zumbemkuu, karibu jukwaa lisilo na stress kabisa, huku kuna babu Asprin ila kwa sasa yupo Rombo mamsera anakula sikukuu ya xmas na mwaka mpya, kuna bepari la kihaya humu linaitwa Bishanga huwa na mbwembwe sana atakuja kukufungulia champaign ya ukaribisho. Kuuna vijana wana fujo sana hapa kina Erickb52, Filipo, Arushaone, Baba V, manoah, St. Paka Mweusi. Kina dada wenye fujo sana humu ni Kongosho, marejesho, Preta, Madame B, Arabela. Mimi nimeolewa nina mume wangu kipenzi watu8 na mungu ametujalia watoto beibe nasty, charminglady, sweetlady, WiseLady na wana kaka yao aitwae Davie S.M. Sote tunakukaribisha sana
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha! Nsharudi mjini mamito. Chezeya mkoloni wangu weye? Baada ya boxing day babu huyooooooo!!

BTW huyu mtu ni she/he?
 




Umeolewa lini ericb52 njoo huku unisaidie utongoza..........
 

Mkuu zumbemkuu, turudi zetu kule tukawajadili masalia
 
Last edited by a moderator:

Karibu sana mkuu... Btw unahitaji ukaguzi kwanza isijekuwa umejifunga mabomu.

Wapi babu Asprin kuna mtu anatakiwa kukaguliwa hapa!!!
 
Last edited by a moderator:
asante sana mamii measkron aisee mie mlokole huwezi kunipatia hao mabinti zako wote niwafanyie maombi?ama lazima babu yao Asprin atoe kibali?
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Nsharudi mjini mamito. Chezeya mkoloni wangu weye? Baada ya boxing day babu huyooooooo!!

BTW huyu mtu ni she/he?
babu mimi He ila mlokole sina madhara, nipatie tu wajukuu zako niwape mahubiri kisha niwafanyie maombi
 
Mkuu zumbemkuu, turudi zetu kule tukawajadili masalia
mkuu Mungi huko sirudi, naogopa panya wangu, hahahahahahahahaha.......

Karibu sana mkuu... Btw unahitaji ukaguzi kwanza isijekuwa umejifunga mabomu.

Wapi babu Asprin kuna mtu anatakiwa kukaguliwa hapa!!!
hahahahahahahaha!
kweli huku kutamu..... mkuu charminglady kwani huyo babu anakagua hadi wanaume??? basi siriitaki hiri rijukwaa maana rina amri kama za jeshi... loh!
 
Last edited by a moderator:
kuna kitu kinaendelea huku CC mkuu zumbemkuu ingia kwenye uzi wa nani awe miss chit chat halafu piga kula ili tuendelee na mijadala mingine..

karibu sana..
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha! Nsharudi mjini mamito. Chezeya mkoloni wangu weye? Baada ya boxing day babu huyooooooo!!

BTW huyu mtu ni she/he?

Hilo swali hapo chini linahusika sana
 
Babu Asprin tangia lini ameanza kukagua mpaka akina zumbemkuu?
Mi nnachojua Babu Asprin anakagua visketi, afu Kongosho au Mamndenyi wanakagua visuruali
umeona eee? japo nilikuwa sichangii humu mara kwa mara ila nilikuwa namsoma sana huyo babu kuwa anakagua visketi tu, sasa kama ameanza na kale katabia kakijeshi kukagua na vikaptura basi kweli dunia kwishney, itabidi nirudi kwenye jukwaa la utani kule labda ntamkuta kipampula mental na thread yake ya matani....
 
Last edited by a moderator:
.........................., afu Kongosho au Mamndenyi wanakagua visuruali
hahahahahahaha! ruksa, waje wanikague.........
mkuu Mungi ulivyoingia humu walikukagua? hivi wanakagua wote wawili au ni mmoja tu?
hope wakati wa ukaguzi hawatamsumbua mzee mzima akiwa usingizini...
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahaha! ruksa, waje wanikague.........
mkuu Mungi ulivyoingia humu walikukagua? hivi wanakagua wote wawili au ni mmoja tu?
hope wakati wa ukaguzi hawatamsumbua mzee mzima akiwa usingizini...

Hahahaaaaaaa mkuu mi Kongosho na Mamndenyi waliniogopa kunikagua eti kisa nilikuja nimevaa gwanda!
Hao wanatabia ya kukukagua kwa mara moja, afu wakati wa ukaguzi naambiwa Mamndenyi anavaa 9t dress tu, Kongosho ndo kabisaaaa
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaaaa mkuu mi Kongosho na Mamndenyi waliniogopa kunikagua eti kisa nilikuja nimevaa gwanda!
Hao wanatabia ya kukukagua kwa mara moja, afu wakati wa ukaguzi naambiwa Mamndenyi anavaa 9t dress tu, Kongosho ndo kabisaaaa
sasa mimi hivi nilivyo mchafu watanikagua kweli?.......wasithubutu kwakweli, jamaa akiamka hajali umri, analeta fujo balaaa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…