Hodi Hodi Hodiiii!!

Hun

Senior Member
Oct 11, 2012
110
106
Hodi mara ya kwanza
Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia.
Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu

Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa
 
Hodi mara ya kwanza
Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia.
Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu

Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa

Hun karibu sana jamvini.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni saana najisikia niko nyumbani.
Mie ni ke.

Jamani na mie nataka kuweka picha kama wenyeji nawekaje?nijuzeni na mie nifaidi madikodiko ya JF,lol (na hivyo vismile hata sijui nawekaje ushamba huu!!)
 
Hodi mara ya kwanza
Hodi mara ya pili ya tatu ndo naingia.
Mie kwa jina Hun au kwa kirefu Honey ndo jina nlopewa kwetu

Ninapenda kuwa mmoja wa ma great thinkers,navutiwa sana nanyi.nawapendaaa
Hun Me lov u 2!
 
Back
Top Bottom