Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 19, 2011 #1 naomba mnikaribishe waungwana. Wakubwa shikamooni. Wadogo marahaba. Wengine habari zenu. Nawapenda woooote.
naomba mnikaribishe waungwana. Wakubwa shikamooni. Wadogo marahaba. Wengine habari zenu. Nawapenda woooote.
NICK2275 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 3,930 Reaction score 924 Jul 19, 2011 #2 karibu pcm
First Born JF-Expert Member Joined Jul 11, 2011 Posts 5,317 Reaction score 1,484 Jul 19, 2011 #3 marrr hhaba mtoto mzuri pcm, karibu ee!
sweetlady JF-Expert Member Joined Dec 24, 2010 Posts 16,967 Reaction score 8,454 Jul 19, 2011 #4 marahaba, hujambo? Jisikie upo nyumbani.
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,159 Jul 19, 2011 #5 Marhaba kijana, karibu sana jukwaani lakini uendelee na heshima hiyo hiyo ktk kutoa au kuchangia mada.
Marhaba kijana, karibu sana jukwaani lakini uendelee na heshima hiyo hiyo ktk kutoa au kuchangia mada.
T The Priest JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 1,029 Reaction score 258 Jul 19, 2011 #6 Marhaba pcm,karibu sana jamvini..soma Jf rules kwnz.
arabianfalcon JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 2,285 Reaction score 584 Jul 19, 2011 #7 Karibu sana
Mshume Kiyate JF-Expert Member Joined Feb 27, 2011 Posts 6,764 Reaction score 903 Jul 19, 2011 #8 Karibu sana
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Jul 19, 2011 #9 Pcm pita ndani mlango upo wazi.
C Chavuma Member Joined Jul 17, 2011 Posts 14 Reaction score 1 Jul 19, 2011 #10 Mar'haba, karibu sana!
N ngarauo Member Joined Jun 17, 2011 Posts 55 Reaction score 3 Jul 20, 2011 #11 karibu mkuu mpaka sebuleni kwetu
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Jul 20, 2011 #12 Karibu sana JF.
Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Jul 22, 2011 Thread starter #13 nawashukuru wote mlionikaribisha. Pamoja sana. Mungu azidi kuwabariki.
Kwamex JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 378 Reaction score 96 Jul 22, 2011 #14 Nani, Jairo? taratibu utatuvunjia mlango, bonyeza kakengele hako upande wa kulia juu ya mlango...karibu bana kumbe hamna umeme.
Nani, Jairo? taratibu utatuvunjia mlango, bonyeza kakengele hako upande wa kulia juu ya mlango...karibu bana kumbe hamna umeme.
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,606 Reaction score 64,451 Jul 22, 2011 #15 Karibuuuuuuuuu, tena wewe unafaa kwa kuwa unachungulia, wengine mmmmh.