Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Shukran MkuuPole ndugu
Amen!Praise the God!
Nawe waendeleaje mkuu?Pole ndugu
Amina kubwa!!Karibu tena .
Pokea uzima sasa kwa jina la Yesu
Naendelea kurecovery still naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu saivi naweza kukaaNawe waendeleaje mkuu?
Hakika Mungu ni mwema kila wakatiNaendelea kurecovery still naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu saivi naweza kukaa
Saivi hata kula nakula kweli kweli pia nimeacha kunywa madawa ya Maumivu naona nuru sio Kama mwezi ulio pita nilikua na Maumivu Sanaa
Mungu Ni mwema WAKATI WOTE WAKATI WOTE Mungu Ni mwema
Kuugua ni Ibada,Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada.
Mungu ni wetu sote!
Kwahiyo wewe unatoa uzima?Karibu tena .
Pokea uzima sasa kwa jina la Yesu
Badala atoe hela analeta blah blah za uzima wa YesuKwahiyo wewe unatoa uzima?
Amina sana Mkuu, hakika atujaalie umri mrefu kwetu sote.Kuugua ni Ibada,
Pole sana rafiki,Mungu akuponye na kukuongezea siku nyingi za kuishi
Pole sana kwa wafiwa aisee.Pole ndugu
Mwenyezi Mungu akupe afya na nguvu
Ugonjwa usikie TU jion hii nimepewa taarifa ya msiba wa workmate na best angu kafiwa na MUMEWE hapo muhimbili...
Ni Maumivu Sanaa
Asante sana Mkuu Vincenzo Cassano 😅Polee sana na karibu Tena jukwaani mukubwa
Usilolijua Mungu uwa anatenda miujiza kupitia kwenye vinywa vya walevi na wazinzi nahisi leo nimetumika kama chombo tu 😁Kwahiyo wewe unatoa uzima?