yA KIBWEGE BWEGEMambo ya fb ndio mambo gani?
Naona ushaanza mambo ya FB hata jua bado kuzama!Mh! Japo cjakupata vzr
KasieHahahahahahahaaa inafurahisha zaidi pale unapokuwa umefungua ID mpya halafu una sign in kwa kutumia kifaa kimoja. Usipokuwa smart enough unakamatika kirahisi tuu heheheheh.
Asilimia 99 umepewa kibali cha kuposti leo kwa ID mpya halafu ukajisahau ukafikiri ume sign out kumbe bado in ya zamani na ndo usharusha uzi aahahahahahahhahahahaaaa.
Multi ID hazijawahi kumuacha mtu salama.
Utaelewa tu acha ubabaishaj taarfa zako zmehfadhiwaCjakuelewa plz !
Sawa bhana!Thanks!
Hahahahahahahaaa inafurahisha zaidi pale unapokuwa umefungua ID mpya halafu una sign in kwa kutumia kifaa kimoja. Usipokuwa smart enough unakamatika kirahisi tuu heheheheh.
Asilimia 99 umepewa kibali cha kuposti leo kwa ID mpya halafu ukajisahau ukafikiri ume sign out kumbe bado in ya zamani na ndo usharusha uzi aahahahahahahhahahahaaaa.
Multi ID hazijawahi kumuacha mtu salama.
hahhahUtaelewa tu acha ubabaishaj taarfa zako zmehfadhiwa
USIFANYE MAMBO YA FB.
Wengi wao ni mapungaKwa uandishi huu huyu sio Mgeni wa JF. Ni senior expert member kwa Id nyingine. Halafu kwa nn wanapenda kuja km wadada?