Kwa muda mrefu nimekua mtembeleaji wa jukwaa hil la jf,nimejikuta najinyima uhondo kutojiunga hasa pale ninapotaka kuchangia jambo au kuuliza jambo.nahisi kwa kujiunga nanyi nitajifunza mengi naomba mnikaribishe.