Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,236
- 26,770
siri ya mtungi
Mwanyasi safari ilikuwa ya ghafla. Tunauguliwa na mdogo wake mama, sasa walipoona hali si nzuri ndo mama akaitwa. Nimekuja naye. Naomba salamu zangu uzifikishe kwa mwenyekigoda na wanajamii huko. Naomba unifutie kesi bureeee
Looo....! Pole sana mkuu
uguza pole, apone mapema!
Mwenyekiti Dark City amezipata mkuu, YNNAH, CHUAKACHARA, amu, Arabela wanahusika sana pia kupata taarifa hii
Kizuri kula na wenzio..........
My KOKUTONA, love you sweetheart...
hao kina Nicas Mtei (mabazazi), babu Asprin, Excel, na wengine wanataka uwaone ili uchezee sharubu zao hao...pls, fanya fasta urudi home..
kaka nina yard ya used car.Hivi wewe ndio huwa unauza matairi pale opoziti mbuyuni?
kaka nina yard ya used car.
Wifi hutaki nionane na kaka yangu???? !!!!!
'Valentina' nae yumo...
hesabu tuko wangapi, chukua hatua.. Excel just excels with pretty ladies, shaurilo..
tena una bahati mwanangu ujue Heaven on Earth ni bonge la supastaa mjini hapa hashindwi kukukutanisha na kina daidomo, wema sijui pensel hadi kina heven on dezet (si unajua huyu bwana alivyomaarufu hapa mjengoni), so we zichange tu....Sangazi DEMBA si umeona mambo hayo?
Ni lazima nitie timu Daslama , nshapata wa kunishika mkono! Mshahara wa mwezi huu naanza prep ya kun'nua begi na ma'taff buti ya kujia huko! Wadau wameniambia eti Yeboyebo huko mwisho Kibamba .
Bahati mbaya Mungu amemchukua alasiri ya leo.