Mi sijawahi kufikaga huko!
Nway Heaven on Earth amenihakikishia nikifika "atanidhungusha" ila wewe "atakuzungusha"
True that... Excel, naona ujuo wa my sweet love wangu jijini unakuzingua... Ulidhani atakuja kwako, lol.
bebs, we endelea kumrusha roho jamaa yangu, naona mwanya Wako unamtia hamasa.
luv u babes!!!
My KOKUTONA, love you sweetheart...
hao kina Nicas Mtei (mabazazi), babu Asprin, Excel, na wengine wanataka uwaone ili uchezee sharubu zao hao...pls, fanya fasta urudi home..
Honey usihofu kabisaaaa. No one like youu sweet heart. Hakuna bazazi yoyooote ataeniweza.
Hii thread sijaielewa,
umeshafika dada? halafu una kesi ya kuondoka bila kuniaga.
Ningekuagiza machungwa na nazi umpelekee dada yangu King'asti
pole... leo kamvua kamjini hapa wakaonaje...?Uchovu ndugu yangu
ah safi, ikiwa umemis shamba karibu kwetu kisarawe....At least no joto. Ila nimemiss shamba tayari
kabanga!!!!!!!! Watch out...
mitaa ya k,ndoni studio usisahau kupita utanikuta pale amercan chips.
Mwanyasi Heaven on Earth anataka location yangu hebu iweke hapa maana wewe tu ndo uijuae
Haahaa keshanidokeza Location yako
ila siri ya yeye pekee kujua loctaion yako nini nini!!!!!!!!!!!
Sangazi DEMBA si umeona mambo hayo?
Ni lazima nitie timu Daslama , nshapata wa kunishika mkono! Mshahara wa mwezi huu naanza prep ya kun'nua begi na ma'taff buti ya kujia huko! Wadau wameniambia eti Yeboyebo huko mwisho Kibamba .