True that... Excel, naona ujuo wa my sweet love wangu jijini unakuzingua... Ulidhani atakuja kwako, lol.
bebs, we endelea kumrusha roho jamaa yangu, naona mwanya Wako unamtia hamasa.
luv u babes!!!
ha ha ha... Mkuu umepitia chakani, yaani saivi unakujabna swagga za '95? Ati "huyo Eli79 mwenyewe kachooka" man up bana, kama unamsaundisha tengeneza mistari upya, afu hupati kitu hapa....
wewe ndio eli eenh! mbona mfupi namna hii aise? hahahahaaaa1!!!
KOKUTONA anakufikia wapi mdau? actually..........! ntaku:cell:muda umeenda bana!
miss neddy, pls njoo unambie uhusiano Wako na Excel unaendeleaje, naona kama kachanganyikiwa vile.
My KOKUTONA, love you sweetheart...
hao kina Nicas Mtei (mabazazi), babu Asprin, Excel, na wengine wanataka uwaone ili uchezee sharubu zao hao...pls, fanya fasta urudi home..
lol, Excel, mbona hivi lakini!!!! Terrible aisee, tuko 21 century bana....bado unasaundisha kizamani hivyo, afu nashindwa kukuelewa, I thought miss neddy was the one, kakupiga chino ndo maana unahaha mtaani kusaka vya wenzako?
hahahahahahahaha hii mitaaa mipya eeeh
Ukisikia barabara za namba ndio hizo....!
miss neddy, pls njoo unambie uhusiano Wako na Excel unaendeleaje, naona kama kachanganyikiwa vile.
Mwanyasi Heaven on Earth anataka location yangu hebu iweke hapa maana wewe tu ndo uijuae
chezea mapenzi ya kinyantuzu weye nimemuonjesha tu jamaaa anataka kumtelekeza angelicious