Elia JF-Expert Member Dec 30, 2009 3,425 567 Dec 19, 2011 #1 Nategemea kuwa hapo kuanzia kesho jioni mpaka Ijumaa wadau nifurahi kuonana nanyi..... niwaletee nini kutoka pwani?
Nategemea kuwa hapo kuanzia kesho jioni mpaka Ijumaa wadau nifurahi kuonana nanyi..... niwaletee nini kutoka pwani?
Elia JF-Expert Member Dec 30, 2009 3,425 567 Dec 19, 2011 Thread starter #3 Blaki Womani said: madafu Click to expand... umepata!
Filipo JF-Expert Member Jan 6, 2011 9,342 5,536 Dec 19, 2011 #5 Huko utapata bahati mbaya ya kukutana na Mwita25 kama huna bahati au kama unaenda mpwapwa utamkuta Husninyo!
Huko utapata bahati mbaya ya kukutana na Mwita25 kama huna bahati au kama unaenda mpwapwa utamkuta Husninyo!