Hmmm!!! Kufa atufi cha moto tunakiona..!!

Hmmm!!! Kufa atufi cha moto tunakiona..!!

Hahahaa angalia usilogwe sana...

9c1d9249c3c393a4cb6483095f93e45a.jpg

Huyu ni Faiza wa Sugu?!
 
Kwa kikurya sio??? Mimi sio mkurya...
Haha Endelea kujifunza, tukikufunza Kubali, hiko ndio kiswahili fasaha na Sio "usilogwe" kwa faida yako na Usijifanye mjuaji kwa Mambo ambayo huyajui na Huna uhakika Nayo
 
Haha Endelea kujifunza, tukikufunza Kubali, hiko ndio kiswahili fasaha na Sio "usilogwe" kwa faida yako na Usijifanye mjuaji kwa Mambo ambayo huyajui na Huna uhakika Nayo
We endelea na kikurya chako. Sisi tuliokulia kwenye kiswahili tutaendelea kutamka na kuandika "kulogwa"
 
Hivyo vyote kwangu si vya maana....mwenzenu kwanza naangalia sura vingine baadaye. Zile zama za kulia na kujuta zimepita.
 
Back
Top Bottom