kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 20,259
- 13,268
Sasa wewe ndugu umeamua kulihalalisha lile jina la kipochi manyoya kwa hii picha?
Sasa wewe ndugu umeamua kulihalalisha lile jina la kipochi manyoya kwa hii picha?
Aisee huyu ni graduate wa IFM, nadhan kaua pale mwaka juzi. Kifaa sio mchezoKwakweli cha moto tunakiona
![]()
Lazima uvae boya hapa
Mmiku tu ruwa lyi mmbodeMeku nkiki...![]()
![]()
We jamaa unapiga sana puli.Mamaeee...nikimpata huyo cha kwanza lazima nikirushie kwenye paja la kushoto chaaaa halafu sifuti ng'o !!!
Puli ni nini?We jamaa unapiga sana puli.
Una fantasy nyingi sana.
Kumbe watu huzeeka nayo eeh hehehehee kweli ng'ombe hazeeki maini. Mie nilijua ukizeeka yanasinyaa kweli wanaume mmeumbiwa mateso looh, poleni.
Kwakweli cha moto tunakiona
![]()
We sakapal... unamtamani mwanamke mwenzio?? Au avatar yako imeniingiza chaka?Hadi nimesisimka, sijui nguvu ya umeme au ya sumaku upande wa hasi na chanya vimegusana....
All in all, Glory to the creater. Na anayefaidi zaidi ni macho, usiombe kuuumbwa kipofu maana macho huwa hayashibi ika yanafaidi hatari.
We sakapal... unamtamani mwanamke mwenzio?? Au avatar yako imeniingiza chaka?
Findo fyo!Meku nkiki...![]()
![]()
Lina mapajaaaBora nivae mawani ya mbao mie mkuu
Hahahahahaa......Allah Akbar
Mbutaana
Scorpion alimkosea sana jamaaHadi nimesisimka, sijui nguvu ya umeme au ya sumaku upande wa hasi na chanya vimegusana....
All in all, Glory to the creater. Na anayefaidi zaidi ni macho, usiombe kuuumbwa kipofu maana macho huwa hayashibi ika yanafaidi hatari.
sakapal umenifedhehesha kwa hiyo picha yako...nakutumia pm tuonaneHapana babu simtamani bali nimeona maumbike yake yalivyo jinsi anavyovutia. Hivi unafahamu hata wsnawske wenyewe kwa wenyewe huwa tunakuubali kuwa "mwenzetu umeumbika sio kwa shepu hilo au sura"
Sasa hapo nimekubaliana na uhalisia kuwa huyo binti kaumbika na iwapo kuna mwanaume akimuona na hastuki au kichwa chake hakiinuki kutaka kutizama kilichopo ndani,basi huyo mwanaume hayuko sawa atakuwa iko gonjwa mahali.
Ni hayo tuu babu sina mengine hehee.
Ndo mmeamua sasa tutafanyeje?Subhanallah wanawake sie
(in shehe kipoozeo voice)Shehe mimi labda itokeee tu.